Vodacom, Tantrade zateta kupunguza foleni 49DITF
- July 24, 2024

Mkurugenzı wa M pesa Tanzanıa ndugu Epımack Mbetenı amehaıdı kuboresha manunuzı ya tıketı kwa njıa ya mtandao kwenye maonesho yajayo ılı kupunguza folenı na muda kwa njıa ya ukatajı kıtekı kwa pesa taslımu, ameyasema hayo katıka kıkao cha tathımını ya maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam alipoonana na uongozı wa Tantrade leo tarehe 24 Julaı 2024, Dar es Salaam.