Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Kwa sasa tunamfumo maalum wa kuwasilisha picha za wateja unaoitwa Jisajili kitambulisho cha Ushiriki wa Maonesho ya DITF( Sabasaba) ambao wateja wanatuma picha za kutengenezea vitambulisho katika tovuti yetu.Hivyo kutuwezesha kutengeneza vitambulisho mapema.

Ukishiriki Maonesho ya SabaSaba utaweza kutengeneza mtandao wa biashara kwani utaonana na wafanyabiashara wengine ana kwa ana.