Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2025

Kura yako haki yako, jitokeze kupiga kura

Uchaguzi 2025

WAKATI NI SASA MADE IN TANZANIA

  • February 11, 2025

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi Latifa M Khamis akiwasilisha mchakato wa upatikanaji wa bunifu tatu bora za rajamu (nembo) ya Tanzania, (Made in Tanzania)  iliyofanyika tarehe 11 February, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es Salaam.