MAONESHO YA SABA YA TEKNOLOJIA YA MADINI YAFUNGULIWA RASMI
- October 5, 2024

5, Oktoba 2024.
Mgeni rasmi wa siku ya ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia ya Madini Mh. Dtk Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, amefungua rasmi maonesho haya ya Teknolojia ya Madini ambayo yanafanyika kwa siku kumi na mbili hapa Geita.
Aidha Mhe. Biteko ametoa rai kwa wadau wa madini kutumia nishati safi na sahihi katika shughuli zao za madini ili kutunza mazingira, ameongea hayo leo katika Viwanja vya EPZ Bombambili Mkoani Geita. Maonesho haya ya Madini yameratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita.