CHANGAMOTO ZA USAFIRISHAJI BIDHAA NJE YA NCHI KUPATIWA UTATUZI
- October 4, 2024

Dar es salaam
Maonesho ya Kimataifa ya Viwanada TIMEXPO 2024 yameendeleea siku ya leo ambapo kabla ya sherehe za ufungaji wa Maonesho haya unefanyika mdahalo wa namna bora ya kutatua changamoto zinazojitokeza katika usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kwenda kwenye Masoko ya Nje ya nchi, mjadala huo umefanyika katika ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi ulipo katika ukumbi wa J K Nyerere sabasaba.
Aidha katika Mdahalo huo watoa mada mbalimbali wameweza kutoa mada ambazo zitasaidia katika kutatua changamoto hizo, Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Bw. Deo Shayo amechangia mada juu ya namna gani TanTrade inasaidia katika urahisishaji wa usafirishaji wa bidhaa kwenda nje ya nchi.