TANZANIA YAAZIMIA KUNG'ARA EXPO 2025 OSAKA JAPANI.
- April 8, 2025

8, Aprili 2025.
DODOMA
____
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezungumza na waandishi wa habari kuhusu maonesho ya Biashara ya Dunia EXPO2025, OSAKA yatakayofanyika, Japani. Tanzania itashiriki maonesho hayo makubwa zaidi duniani, ambapo sekta mbalimbali kama vile Utalii, Kilimo, Biashara, Mazingira, Afya, Miundombinu, Elimu, na Utamaduni zitahusika. Aidha programu zenye tija kwa Taifa zikiwemo, Uwezeshaji wanawake, Siku ya Kiswahili, Utalii pamoja na Nishati zitafanyika. Maonesho ya EXPO2025 Osaka yanaratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Japani.