TANZANIA NA JAPANI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA
- September 3, 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TanTrade) Bi. Latifa M. Khamis amepokea ujumbe kutoka benki ya ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japani ambapo ametoa wito wakushirikiana na TanTrade katika kuongeza wigo wa makampuni kutoka Japani kushiriki kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam pamoja na uwekezaji katika eneo la kiwanja cha maonesho ya Sabasaba ambapo ni eneo lenye tija na thamani kubwa katika ukuzaji wa uchumi nchini Tanzania wakati wa kikao kifupi kilichohusu mahusianao ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi ya Japani kilichofanyika leo tarehe 3 Septemba, 2024 katika ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi za Tantrade zilizopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Aidha Mkurugenzi wa Benki ya ushirikiano wa Kimataifa Bw. Shinya Yoshida ameahidi kuendelea kuunga mkono maendeleo ya biashara na uwekezaji ndani ya Tanzania pamoja na nchi ya Japani ikiwa ni kuhakikisha bidhaa za Kit