Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

TANZANIA JAPAN WAZUNGUMZA BIASHARA.

  • May 27, 2025

25, Mei 2025


Pichani ni tukio la mchapalo lililoandaliwa kwa ajili ya kuwaunganisha wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa sekta za uzalishaji na huduma, katika Maonesho ya Dunia ya Expo 2025 nchini Japan. Tukio lililohudhuriwa na Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, pamoja na wadau wengine kutoka sekta binafsi na ya umma wanaoshiriki maonesho hayo ambapo limefanyika mara baada ya kumalizika kwa siku maalamu ya taifa la Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Kassim Majaliwa.