SIKU YA TAIFA LA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA EXPO 2025 OSAKA YAFANA.
- May 27, 2025

25 Mei 2025
Osaka, Kansai Japan
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ambaye pia ni Kamishna Jeneralali wa banda Tanzania Bi Latifa M Khamis akiwa katika picha ya pamoja na walimu wakiswahili katika chuo kikuu cha Osaka Kulia ni bi Zainabu Kassu na kushoto ni Mwalim wa kiswahili Mjapani Tajemura Keiko
Kutoka University of Osaka mara baada ya Mchapalo