SIKU YA TAIFA LA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA EXPO 2025 OSAKA YAFANA
- May 27, 2025

25 Mei 2025
Osaka, Kansai Japan
Pichani ni tukio la mchapalo lililoandaliwa kwa ajili ya kuwaunganisha wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa sekta za uzalishaji na huduma, katika Maonesho ya Dunia ya Expo 2025 Osaka nchini Japan. Tukio lililohudhuriwa na Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, pamoja na wadau wengine kutoka sekta binafsi na ya umma wanaoshiriki maonesho hayo ambapo limefanyika mara baada ya kumalizika kwa siku maalamu ya taifa la Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Kassim Majaliwa.