TANTRADE KUENDELEZA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA MAREKANI
- November 13, 2024
12/11/2024
Dar es salaam.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeupokea ugeni kutoka Marekani NC (National Institute) kutokea Durham ambao umefika katika ofisi za TanTrade kwa lengo la kujadili namna ya kuendeleza biashara baina ya Tanzania na Marekani kikao hicho kimefanyika katika kiwanja cha Mwl. J. K Nyerere(Sabasaba) Jijini Dar es salaam.
Aidha katika kikao hicho yamejadiliwa maandalizi ya jukwaa la Kiuchumi la Tanzania (Tanzanian Economic Develepment Summit) litakalofanyika tarehe 14 Machi, 2025 ambalo litajumuisha sekta mbalimbali ikiwemo Afya, Kilimo, Uzalishaji, Teknolojia pamoja na utalii.