TANTRADE YAUNGANA NA TAASISI MBALIMBALI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
- May 1, 2024

1 Mei 2024
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) leo imeshiriki sherehe za kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam zimefanyika katika Uwanja wa Uhuru uliopo wilaya ya Temeke.
Mgeni Rasmi katika maadhimisho haya ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila na kauli mbiu ya mwaka huu ni "Maisha Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi."