TANTRADE YAHAKIKISHA USHIRIKIANO NA AFREMAXIM BANK.
- May 22, 2025

21 Mei, 2025.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeshiriki kongamano la AFREMAXIMBANK ROADSHOW ambayo imefanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency Hotel kongamano ambalo limehudhuriwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Viwazara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera ambapo kwa upande wa TanTrade imewakilishwa na Bi. Lulu Mkudde Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Biashara ambaye amemwakilisha Mkurugenzi Mkuu.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi Latifa M Khamis, Bi Lulu Mkudde amesemakuwa TanTrade inaamini kuwa kupitia ushirikiano baina ya pande zote mbili utaimarisha mazingira mazuri ya ufanyaji biashara nchini.