Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

WATUMISHI WA TANTRADE WASHIRIKI KWA KISHINDO MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.

  • May 2, 2025

1, MEI 2025.

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo imeungana na Watumishi wengine katika kusherekea siku wa Wafanyakazi Duniani ambapo maadhimisho haya  yamelenga kuhimarisha haki na maslahi ya Wafanyakazi wa Kitanzania kwa maendeleo endelevu. Siku hii ya Mei Mosi mwaka huu imebeba kauli mbiu inayosema "Uchaguzi Mkuu 2025, uteletee Viongozi wanaojali haki na maslahi ya Wafanyakazi, sote tushiriki", maadhimisho haya kimkoa yamefanyika katika kiwanja cha Tanganyika Pekers, Kawe, Jijini Dar es Salaam.