WATUMISHI WA TANTRADE WAKIJIANDAA KUELEKEA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.
- May 1, 2025

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) wakiwa tayari kwenda katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambayo kimkoa yanafanyika katika kiwanja cha Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam.