TANTRADE NA KOTRA KUIMARISHA MIFUMO YA BIASHARA KIDIJITALI
- May 20, 2025

16 Mei, 2025
Dar es salaam.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imefanya kikao kazi cha kuboresha mifumo mbalimbali ya kidijitali ambayo hutumika katika shughuli mbalimbali za kibiashara, kikao hicho kimefanyika leo tarehe 16 Mei, 2025 katika ofisi za TanTrade jijini Dar es salaam.
Aidha katika kikao hicho kilichokutanisha Mamlaka ya Biashara Tanzania pamoja na Mamlaka ya Biashara nchini Korea (KOTRA) ambayo imeambatana na Mkurugenzi Mkuu wao Bw. Jun Young Wohn ugeni huo umekuja na adhma ya kuendelea kuboresha mifumo mbalimbali ya kiautomatiki katika kuendeleza biashara ambapo mifumo mbalimbali imetajwa ikiwemo mfumo wa upangishaji nafasi sabasaba (SAMS) pamoja na mifumo mingine ya TanTrade.