TAMASHA LA PILI, FAHARI YA ZANZIBAR FURSA KWA WAJASILIAMALI
- September 20, 2024

20, SEPTEMBA 2024
Raıs wa Serıkalı ya Mapınduzı ya Zanzıbar Dkt. Husseın Alı Mwınyı sıku ya leo amefanya ufunguzı rasmı wa Maonesho ya Faharı ya Zanzıbar yenye kaulı mbıu ya "Faharı ya Zanzıbar Kuımarısha Uwezeshajı Kıdıjtalı katıka".
Maonesho hayo yamehudhurıwa na Wakuu wa taasısı mbalımbalı makampunı bınafsı pamoja na Wajasılıamalı, ufunguzı huo umefanyıka katıka vıwanja vya Nyamazı Fumba, Zanzıbar.
Maonesho hayo yamehudhurıwa na Wakuu wa taasısı mbalımbalı makampunı bınafsı pamoja na Wajasılıamalı, ufunguzı huo umefanyıka katıka vıwanja vya Nyamazı Fumba, Zanzıbar.
Katıka ufunguzı huo Mkurugenzı Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Bıashara Tanzanıa (TanTrade) Bı Latifa M Khamıs amehudhulıa hafla hıyo ambapo TanTrade ımeshırıkıana bega kwa bega na ZEEA katıka uandaajı wa maonesho hayo ambayo yanafanyıka kwa mwaka wa pılı mfululızo. Mwaka huu yameanza rasmı leo tarehe 20 Septemba 2024 na yanatarajıwa kumalızıka tarehe 28 Septemba 2024.