Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

RAIS SAMIA ATEMBELEA BANDA LA TANTRADE.

  • May 20, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda mbalimbali likiwemo banda la Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) katika siku ya uzinduzi wa Sera ya mambo ya nje (Foreign Policy 2024). Leo tarehe 19 Mei 2025 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere JNICC jijini Dar es salaam.