UJUMBE KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA MAONESHO YA SABASABA 2025
- May 22, 2025

21, MEI 2025.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade imepokea ugeni kutoka China uliokuja kwa dhumuni la kujifunza maswala mbalimbali ya kibiashara na fursa zilizopo katika uwekezajı na viwanda, aidha ujumbe huo umevutiwa na maandalizi kabambe ya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba 2025, huku wakihaidi kushiriki katika Maonesho hayo Sabasaba sambamba na kushiriki programu ya siku ya kitaifa ya China itakayohusisha maswala ya biashara kwa wajasiriamali, wafanyabiashara na wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa katika sekta ya viwanda na biashara.
Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi za TanTrade zilizopo katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.