SIKU YA VIWANDA NA BIASHARA, YATOA ELIMU YA VIWANGO ZANZIBAR
- September 22, 2024

21/09/2024
Zanzibar
Mamlaka ya Maeneleo ya Biashara Tanzania TanTrade kwakushirikiana na ZEEA wameeandaa siku maalamu ya Viwanda na Biashara katika Maoneshoi ya Fahari ya Zaznzibar ambayo yanaendelea katika Viwanja vya Maonesho Nyamazi Fumba katika siku hii Wajasiliamali na wadau wa Biashara wamejitokeza katika semina ya mafunzo mbalimbali ya kibiashara ambayo yaendeshwa na Wakala wa uthibiti Viwango vya ubora Zanzibar ZBS.
Katika mafunzo hayo Mwakilishi kutoka devisheni ya kuthibitisha ubora wa bidhaa ( ZBS) ametoa elimu juu ya faida za kuthibitisha bidhaa ambapo amesemakuwa ni njia moja wapo ya kujitengenezea fursa ya kuuza bidhaa nje ya nchi.