PONGEZI TANTRADE, KWA KURATIBU MAONESHO YA SABA YA MADINI.
- October 5, 2024

5, OKTOBA 2024.
Mhe. Dkt Doto Mashaka Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati amepongeza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade sambamba na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita kwa kuratibu vyema Maonesho ya Saba ya Tekinolojia ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya EPZ Bombambili Geita.
Naibu Waziri Mkuu amependezwa na namba ya idadi ya washiriki kwa mwaka huu na hakika kila upande umenufaika, pia ametoa rai kwa wadau wote wa Madini kuendelea kushiriki maone haya ya Madini yanayofanyika kila mwaka kwani ni fursa hadhimu kwako Kwa kuongeza mtandao wa biashara.