MSHIKAMANO WA KIBIASHARA BAINA YA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA
- December 17, 2024

16, Desemba 2024.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade imefanya mazungumzo na ujumbe kutoka China na kujadili mikakati mbalimbali ya Biashara na uwekezajı kwa upande wa Tanzania. Ujumbe huo kutoka Shandong China, umepokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa M. Khamis katika ofisi za TanTrade jijini Dar es salaam leo tarehe 16 Disemba 2024.
Aidha Bi. Latifa ameanisha fursa mbalimbali zinazopatikana nchini kama vile kilimo, ufugaji na Biashara. Aidha mazungumzo hayo yametanabaisha kuwa Tanzania ni kitovu cha biashara kupitia masoko yake mbalimbali ya kimataifa kama vile soko la Kariakoo. Kadhalika Mkurugenzi Mkuu aliwafahamisha kwamba Tanzania ni nchi inayounganisha mataifa mengine ya Afrika mashariki kupitia Barabara zake na treni hivyo kuwezesha wafanyabiashara kuweza kusafirisha bidhaa zao ndani ya muda mfupi kama vile Congo, Uganda, Burundi na Rwanda jambo hivyo kusaidia wawekezaji kupele