MAONESHO YA SITA YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI - GEITA
FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA SITA YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA,2023 IPATE KWA KU Bofya Hapa
Tarehe ya mwisho kuthibitisha ushiriki na kukamilisha malipo ya ushiriki ni Tarehe 30 Agosti, 2023. Nafasi zitatolewa kwa kuzingatia wa kwanza kuomba na kulipia.