Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

Biashara Kati ya Tanzania na Urusi

  • May 26, 2026

FURSA KATIKA SOKO LA URUSI
Tanzania ina fursa ya kuongeza mauzo yenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 14 katika soko la Urusi kwa miaka mitano ijayo (2026-2030).
 
1.    BIDHAA ZENYE FURSA SOKO LA URUSI
Bidhaa zenye fursa zaidi kahawa, parachichi, cocoa beans, maua, karafuu na korosho. Hii inatoa fursa ya kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Urusi kwa miaka mitano ijayo (2026-2030).
No.
Product
Fursa hajiafikiwa  (thamani USD 000)
1.
Kahawa
3,800
2.
Parachichi
1,800
3.
Cocoa beans
188
4.
Maua
182
5.
Karafuu
182
6.
Korosho
102
Chanzo: Imeandaliwa na TanTrade
 
2.    BIDHAA MBADALA ZENYE FURSA SOKO LA URUSI
               I.         Nyama
             II.         Maua
            III.         Matunda
 
3.    MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA SOKO LA URUSI MWAKA
2021 – 2025 (THAMANI KWA USD MILIONI)
Mwaka
2021
2022
2023
2024
2025
Mauzo nje
7.1
5.7
6.0
8.9
29.5
Uingizaji
150.5
130.3
384.4
295.3
253.4
Urari
-143.4
-124.6
-378.4
-286.4
-223.9
Chanzo: imeandaliwa na TanTrade
4.    BIDHAA ZINAZOONGOZA KWA MAUZO NCHINI URUSI (2024-2025)
               I.         Tumbaku
             II.         Kahawa
            III.         Chai
  
5.    TARATIBU ZA KUSAFIRISHA BIDHAA NCHINI URUSI
Mahitaji ya kupata taratibu za usafirishaji wa bidhaa zimeainishwa kwenye tovuti ya Mamlaka https://trade.tanzania.go.tz/
 
6.    TARATIBU ZA KUINGIZA BIDHAA NCHINI URUSI
Kwa mahitaji ya kupata taratibu za uingizaji bidhaa Urusi zimeainishwa kwenye tovuti ya https://www.macmap.org/
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz au tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii facebook, twitter, TanTradeTanzaniaWhatsApp youtube na Instagram au kwa maulizo wasilisha kupitia barua pepe enquiries@tantrade.go.tz