TanTrade katika kukuza biashara ndani na nje ya nchi
Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Latifa Khamis anaeleza kuwa dira ya mamlaka hiyo ni kuwa kitovu cha ufanisi wa hadhi ya kimataifa (world class focal point) katika kuendeleza na kukuza uchumi wa Tanzania kupitia Biashara