Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

ZANZIBAR NI MAKTABA YA VIVUTIO VYA ASILI

  • July 8, 2025

8 JULAI,2025

Mhe.Mwanaidi Ally ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum amesema Zanzibar ni maktaba ya vivutio vya asili kwakuwa watalii mbalimbali huja kujifunza na kumpuzika katika sehemu  kama vile Nungwi na sehemu nyingi za vivutio vya utalii.
Aidha,Bi.Mwanaidi amesema nadharia ya uchumi wa Buluu imewawezesha Wanawake wakizanzibar kupata fursa za kiuchumi,  kuimarisha ndoa na kutoa rai kutunza asili yetu ameyasema hayo katika siku ya Zanzibar katika Ukumbi wa Rashid Mfaume Kawawa viwanja vya Sabasaba