TUMERITHISHWA TUWARITHISHE, SABASABA 2025 KIDIGITALI ZAIDI.
- July 4, 2025

3 JULAI, 2025.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imekua na utaratibu yakinifu wa kuwaleta wanafunzi kutoka mikoa mbalimbali ya Jamuhur ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kuwajengea utamaduni wa kutembelea Maonesho ya Sabasaba kwa dhumuni la kujifunza kwa vitendo maswala mbalimbali ya Kiuchumi, Kisiasa, kijamii lakini pia wanafunzi hao hupata fursa ya kuona bidhaa na kuduma mbalimbali zinazalishwa ndani na njee ya nchi. Maonesho ya Sabasaba yamebeba dhina inayosema "Maonesho ya Biashara ya Kimataifa SABASABA Fahari ya Tanzania".