Tantrade yashiriki Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma
- September 3, 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ) Bi Latifa M. Khamis (katikati)pamoja na Mhe. Waziri wa Uwekezaji na Mipango, Profesa Kitila Mkumbo, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Tausi Mbaga Kida na Viongozi
wengine leo tarehe 27 Agosti, 2024 wakibadilishana mawazo katika hafla maalum ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza kwa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kitakachofanyika kesho tarehe 28 Agosti, 2024 katika ukumbi wa Kimataifa AICC, Arusha.