KONGAMANO LA TATU LA WAKUU WA TAASISI ZANZIBAR
- January 7, 2025
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wakuu wa Taasisi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade, Bi. Latifa M. Khamis, akichangia mada kwenye kongamano la Jukwaa la Wakuu wa Taasisi lililofanyika Zanzibar. Kongamano hili la tatu limewakutanisha Wakuu mbalimbali wa Taasisi za Umma ili kuweza kuangazia maswala mbalimbali ya ushirikiano wa Taasisi wanazoziongoza kwa kusimamia sera za nchi zitakazopelekea ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu kwa umma wa Watanzania.
Kongamano hili limefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar leo tarehe 6, January 2025.
Kongamano hili limefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar leo tarehe 6, January 2025.