SEMINA YA AWALI YA WASHIRIKI WA MAONESHO YA SABASABA 2025 YAFANA.
- June 26, 2025

28 JUNI, 2025.
Katika picha ya pamoja ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila, kulia ni Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa M. Khamis, Viongozi mbalimbali wa Ulinzi wa Usalama pamoja na watumishi wa (TanTrade) baada ya kumalizika kwa semina ya awali ya washiriki wa Maonesho ya Sabasaba 2025, iliyofanyika katika ukumbi wa Rashidi Mfaume Kawawa (Dome) uliopo katika kiwanja cha Sabasaba.