Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

MKURUGENZI WA TANTRADE AFUNGUA MAFUNZO YA UPAMBANAJI NA RUSHWA KWA WATUMISHI WA TANTRADE

  • May 10, 2024

10/05/2024
Dar es salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Tanzania TanTrade Bi Latifa Khamis siku ya leo amewaongoza watumishi wengine wa Tantrade katika kupata mafunzo ya mapambano dhidi ya Rushwa na Elimu ya Afya pindi wa wapo katika majukumu yao ya kazi.

Aidha katika mafunzo hayo Tantrade wamepatiwa elimu yakuepukana na matendo yatakayo leta ubadhilifu wa mali ya serikali na kuepukana na mambo ovu ili waweze kuwa katika hali salama pindi wawapo katika majukumu yao ya kazi