Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

MKUU WA WILAYA YA ILALA ATEMBELEA BANDA LA TANTRADE KATIKA MAONESHO YA BIASHARA MNAZI MMOJA

  • April 25, 2024

Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Jonas Mpogolo leo hii ametembelea Maonesho ya Biashara ya Muungano yanayo endelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja ikiwa ni siku Moja kabla ya kutamatisha Maonesho haya

Mhe. Mpogolo amepata wasaa wakutembelea Banda la   Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na badaae kutembelea mabanda mengine ya taasisi, makampuni na wajasiriamali ambao wanashiriki maonesho haya ya Biashara ya Muungano.