BODI YA MAMLAKA YA MAENDELEO BIASHARA TANZANIA (TANTRADE ) YAZINDULIWA RASMI 22 AGOSTI,2025.
- August 23, 2025

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Mhe.Selemani Said Jafo ameizindua rasmi bodi ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),amewasisitiza kuwa wawe na uadilifu ili taasisi iende vizuri kimataifa, mabadiliko makubwa, kusimamia fedha na mradi wa master plan ya viwanja vya Mwl J.K.Nyerere.ili kuongeza tija katika sekta ya biashara nchini.
Aidha,Mh.Jafo amempongeza Dkt Latifa M.Khamis na menejiment nzima ya TanTrade kwakufanya kazi kubwa na kusimamia wakubwa wa maono mapana ya Kibiashara Kimataifa, ameyasema hayo katika viwanja vya Mwl J.K.Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.