TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UAGISAJI NJE YA CHINA.
- November 6, 2024

Watembeleaji mbalimbali wa Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Nje ya China (China International Import Exhibition-CIIE) wakitembelea Banda la Tanzania linaloratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade).
Maonesho haya yamefunguliwa Rasmi Tarehe 5 Novemba, 2024 na Waziri Mkuu wa China na kwa upande wa Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi alishiriki aliongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki ufunguzi huo.