Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

SIKU YA TANZANIA, DOHA QATAR

  • February 28, 2024

Naibu Waziri Kilimo - Mhe. David Silinde (Mb) akiwa ameongozana na Mwakilishi wa Kamishna Jenerali wa Expo Doha 2023 Pamoja na Kamishina Jenerali wa Banda la Tanzania Expo2023 Doha ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bi. Latifa Khamis wakiwa kwenye ufunguzi wa Siku ya Tanzania Doha Qatar leo tar 28 Februari 2024

Mheshimiwa Naibu Waziri alichukua nafasi hii kutangaza bidhaa za kilimo zinazopatikana Tanzania na fursa kwa mataifa mbalimbali yaliyojumuika kuweza kufanya biashara na Tanzania kwa kununua mazao na bidhaa zinazozalishwa nchini.