Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

TANZANIA NA PAKISTANI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA BIASHARA

  • December 18, 2024

17, Disemba 2024

Muwakilishi wa Balozi wa Pakistan nchini Tanzania Muhammad Azeem Khan ametembelea kwenye Ofisi za Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa utendaji kazi hususan katika uwanda wa biashara. Aidha Ndugu Mohammad ameomba kupatiwa taarifa mbalimbali za masoko ya bidhaa za Kitanzania, ikiwa ni jukumu moja wapo la TanTrade kupitia idara yake ya DTM, idara ya Usimamizi wa Biashara.