TANTRADE YAFANYA KIKAO KAZI NA SHIRIKA LA MAENDELEO LA KIMATAIFA LA JAPAN (JICA)
- June 18, 2024

18 Juni, 2024
Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa M. Khamis ameongoza kikao kazi kilichofanyika kati ya TanTrade na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA).
Kikao hicho kilikua na lengo la kujadili andiko la mapendekezo ya kuboresha uwanja wa Maonesho wa Mwl. J.K Nyerere lililoandaliwa na kuwasilishwa na Bw. Taku Mihara, mwakilishi na mshauri elekezi wa Shirika la JICA.
Shirika pa JICA linatekeleza jukumu hili ikiwa ni matokeo ya ushirikiano mzuri na wa muda mrefu uliopo kati ya Taasisi hizi mbili (TanTrade na JICA)
Katika majadiliano, Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade aliwafahamisha wajumbe walioshiriki kikao hicho kuwa, lengo la andiko hili ni kuhakikisha kuwa uwanja wa Maonesho unakua wa kisasa kwa kuweka miundombinu ya majengo ya kisasa yatakayokuwa na huduma zote za muhimu kwenye sekta ya biashara, uchumi na utalii.