TANTRADE YATOA ELIMU NA HUDUMA KWA JAMII MAONESHO YA NNE YA BIDHAA ZA VIWANDA MKOA WA PWANI
- December 27, 2024
Kibaha, Pwani
Mamlaka ya Maendeleo na Biashara Tanzania (TanTrade) ilishiriki Maonesho ya Nne ya Biashara na Uwekezaji kwa Mkoa wa Pwani ambapo ni Maonesho ya Nne tangu kuanzishwa kwake. Maonesho haya yalifanyika katika viwanja vya stendi ya zamani ya Kibaha.
Katika maonesho hayo TanTrade ilitoa huduma mbalimbali kama vile elimu ya Biashara pamoja na kutoa elimu ya matumizi ya programu tumizi za Biashara kama vile Biashara App na Tanzania Trade Portal, maonesho haya yalifanyika tarehe 19, Disemba 2024.