TANTRADE YARATIBU USHIRIKI WA WAFANYABIASHARA ZIMBABWE
- July 30, 2024

Harare, Zimbabwe
29 Julai 2024.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Dkt. John Simbachawene leo ameshiriki katika Maonesho ya Viwanda kwa nchi za SADC ambayo yamefunguliwa rasmi Harare, Zimbabwe.
Aidha Tanzania ilipata heshima ya kutembelewa na Makamu wa Rais wa Zimbabwe Hon Dr Gen C.G.D.N. Chiwenga ambaye alitembelea Banda la Tanzania katika ukumbi Harare international conference center ambao maonesho haya yanafanyika.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade imeshiriki kikamilifu katika kuhakikisha kwamba Meonesho haya yanafana kwa kuratibu ushiriki wa wafanyabiashara kutoka Tanzania ambao wameweza kuonesha bidhaa na huduma zao.