TANTRADE YARATIBU NA KUSHIRIKI MAONESHO YA UJENZI
- October 12, 2023

Tarehe 11 Oktoba, 2023
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeratibu na kushiriki Maonesho ya 7 ya ujenzi na vifaa vya ujenzi yaliyoanza leo tarehe 11 Octoba, 2023 katika Viwanja vya Diamond Jubilee.
Katika maonesho hayo kuna banda la TanTrade ambapo Bi. Clara Mwamba na Bi. Grace Simbakavu ambao ni Maafisa Biashara wa TanTrade wanatoa elimu na kutangaza fursa zipatikanzo TanTrade.
Maoenesho hayo yanatarajiwa kumalizika tarehe 13 Ocktoba, 2023.