Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

TANTRADE IMERATIBU UTOAJI WA ELIMU KWA MAAFISA BIASHARA WA MASOKO MBALIMBALI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM

  • April 23, 2024

TanTrade imeratibu mafunzo kwa Maafisa Biashara na Maafisa Uvuvi na Kilimo kutoka katika Halmashauri ya Mkoa wa Dar es salaam ambayo yamelenga katika utoaji wa Elimu na kuwapatia uwezo wa kuweka taarifa za bidhaa za Masokoni katika Mifumo tumizi ya TanTrade ambayo ni Biashara App na Trade Portal App mafunzo hayo yametolewa leo tarehe 18 Aprili 2024

Mafunzo hayo yamehudhuliwa na Maafisa Biashara mbalimbali Pamoja na Watumishi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yalifanyika katika Viwanja vya Sabasaba Kilimanjaro Hall