Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

TANTRADE YAHUDHURIA SEMINA KWA WABUNGE

  • May 21, 2024

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mussa Zungu amefungua semina ya wabunge kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA).

Semina hiyo iliyofunguliwa Mei 20, 2024 Bungeni Jinini Dodoma iliwahusisha wakuu wa Taasisi ambazo ziko chini ya Wizara ambapo TANTRADE iliwakilishwa na Mkurugenzi Mkuu Bi. Latifa M. Khamis huku lengo la semina likiwa ni kueleza utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara katika mwaka wa fedha 2019/20 hadi 2023/24