Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AFURAHIA MAONESHO YA SABASABA 2025.

  • July 4, 2025

4 JULAI, 2025.


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita ametembelea Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam nakufuraishwa na ubora na maonesho hayo. Mkoa wa Shinyanga kwa mwaka huu pia umeshiriki Maonesho ya Sabasaba 2025, msimu wa 49, umewaleta wajasiliamali  kutoka mkoa huo kwa lengo la kuwainua kiuchumi, kubadilishana uzoefu na wafananya biashara wa mikoa mingine, kuwakutanisha na wateja wapya. Maonesho ya Sabasaba yameanza tarehe 28 Juni na yatatamatika Julai 13, 2025.