Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

MAONESHO YA SABA YA MADINI GEITA, KUMEKUCHA

  • October 4, 2024

Mkuu wa Mkoa wa  Geita Mh. Martin Shigella amewakaribisha wageni kutoka maeneo mbalimbali ndani na njee ya nchi kuja kushiriki na kutembelea Maonesho ya Saba ya Madini Geita, maonesho haya yamelenga kuwainua wachimbaji wadogo, wakati na wakubwa ili nao wawe chachu ya mapato na uchumi wa Geita na  Taifa kwa ujumla, ameyasema hayo Leo tarehe 4 Oktoba 2024 katika Viwanja vya EPZ Bombambili Geita.


 Maonesho haya ya Saba ya Madini yameratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kwakushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita.