Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

WATOA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2023 WAPEWA SEMINA YA KUWA WAADILIFU NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WATEJA.

  • July 25, 2023

Ikiwa ni moja kati ya Maandalizi ya Maonesho ya (SabaSaba ) Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo tarehe 24 Juni, 2023 imefanya  Semina ya Maandalizi ya Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam(SabaSaba) kwa wasimamizi wa magetini na Wahudumu wa tiketi katika Maonesho hayo ili kuweka mazingira mazuri kwa huduma kwa wateja wakati wote wa Maonesho yanayoanza tarehe 28 Juni hadi 13 Julai.I