Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

MATAIFA KUTOKA SADC YAVUTIWA NA BIDHAA ZA MADE IN TANZANIA

  • July 23, 2025


22 Julai, 2025.

Mataifa mbalimbali kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika 
(Southern African Development Community) waendelea kuvutia na bidhaa mbalimbali zilizopo katika banda la Made in Tanzania linaloratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania  (TanTrade) katika Mkutano wa 27 wa Ulinzi, Siasa, Usalama unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Wageni hao wamevutia na bidhaa mbalimbali zikiwemo bidhaa za chai, Kahawa, Chocolate, Mvinyo pamoja na Mavazi ya Batiki ambapo wengi wao wamesifu uzalishaji wa asilia wa vitu hivyo ambavyo haviongezewi kimekali za viwandani