Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

SABASABA 2025, KIJIJI CHA SANAA BURUDANI KWA KWENDA MBELE.

  • July 6, 2025

6 JULAI, 2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson msigwa amefika Sabasaba kwa mara nyingine tena ikiwa ni siku ya nane ya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Sabasaba 2025 na ameainisha kuwa burudani ndani ya Maonesho ya Sabasaba zinaendelea, vikundi mbalimbali vya ngoma na wasanii nguli wa filamu wapo Sabasaba kutoa burudani isio na kifani. "Sabasaba 2025 Kidigitali zaidi", katika kiwanja cha Mwl Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.