Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

SABASABA 2025 IPO SHWARI KABISA.

  • July 6, 2025

6 JULAI, 2025.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura atembelea Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Sabasaba 2025. Aina TanTrade yaipongeza Jeshi la Polisi kwa kuhimarisha ulinzi na usala katika viwanja vya Maonesho tangu yalipo anza tarehe 28 Juni. IGP Wambura alipata nafasi ya kutembelea mabanda ya Zanzibar na kujionea shughuri mbalimbali za kijasiriamali na zile za taasisi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Maonesho ya Sabasaba ni Maonesho makubwa zaidi Afrika Mashariki na yanawakutanuasha wafanyabiashara kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni.