Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

Pumzika kwa amani Nd. John Allyapenda

  • September 18, 2024

18, Septemba 2024.

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bi. Latifa M. Khamis wameungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki katika kumsindikiza aliekua mtumishi wa TANTRADE Nd. John Allyapenda (marehemu) kwenye nyumba yake ya milele katika ibada ya mazishi iliyofanyika Toangoma, jijini Dar es Salaam.