Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANZIBAR, SABASABA 2025.

  • July 8, 2025

7 JULAI, 2025.

Mgeni Rasmi siku ya ufunguzi rasmi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam SABASABA 2025, Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ametembelea Banda linaloratibiwa na Wazanzibari linalohusisha Taasisi mbalimbali za Zanzibar pamoja na wafananya biashara na kujionea mazuri wanayoyafanya katika mikakati ya maendeleo endelevu ya uchumi wa Buluu. Banda la Zanzibar linawajasiriamali wa Mwani, Manukato, Viungo, Karafuu, Vipodozi matembezi hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.